
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Aug 11, 2012 · Mwaka 2009, Diamond alikutana na Bwana Msafiri Peter maarufu kama Papaa Misifa ambae alikubali kumsaidia kimuziki na Kurecord wimbo wa kwanza ulioenda kwa jina la "Nenda kamwambie", wimbo ambao Diamond aliimba kwa uchungu huku akimuimbia mpenzi wake huyo aliyemuacha (Sarah Sadiki) kuelezea kiasi gani aliumia kwa yeye kumuacha …
Objects pop in and out of diamond city, Preculling issues?
Apr 16, 2024 · 4. Diamond City Expansion (major expansion to Diamond City with many new NPCs, cells, buildings and more) That last one, the DC Expansion, adds so many new buildings, signs and billboards that the zone shown by bloodhound's photo is cluttered with many new visual obstructions, and there's no opportunity for pop-in.
textures in diamond city disappearing/reappearing?
Apr 2, 2018 · Congrats you just fixed your Diamond City issue and saved yourself 13 mod slots and potential game breakage. The rest is okayyyy I think you'll get by with it but it needs some tidying. Doesn't look like you have much that edits the Leveled Lists but if you do you should consider making a Bashed Patch to make everything nice and compatible.
Harmonize atumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba …
Mar 2, 2025 · Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea, akisisitiza kuwa hana tena nafasi ya kutoelewana na mtu yeyote.
Diamond akiendelea kula kuku wakienyeji atakuja kubambikiwa …
Jan 4, 2014 · Diamond anaangalia frequency zaidi ndo anachezea hapo na sio makalio ,ukubwa wala uzuri wa Mwanamke. Hao Kuku wa kienyeji Kama wanaoandisha frequency zake zinakuwa juu sio rahisi awaache maana yeye mondi anachopambania …
Tetesi: - Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!
Feb 12, 2014 · Hatimaye! Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana...
Tetesi: - Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!
Mar 14, 2023 · Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao ...
Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara …
Feb 19, 2025 · Huyu Mondi amemuweka Zuchu kama mateka wake, hamtunzi sawa sawa na wala hamuachilii aende, huyu binti tusipoangalia ataingia kwenye drugs na kuharibu maisha yake yooooooote, she is acting strong outside but inside she is so depressed, Nadhani tuliyaona kwa Vanessa na Jux the girl alikuwa...
Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond …
Mar 2, 2025 · Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za Mungu.
Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa …
Jan 16, 2025 · Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima. Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda? View attachment 3203767